CIA inamtesa Putin vikali, yaanza maandalizi ya kumtoa rasmi Kremlin

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Hiki ndicho unachoweza kusema, Marekani sasa yaanzisha propaganda za kwamba Putin ana mpango wa vita ya muda mrefu ili waendelee kupeleka misaada ya kivita na kifedha, lengo likiwa ni kuyakomboa maeneo yote ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi na hatimaye kuingia Moscow moja kwa moja na kumfurusha Putin Kremlin kadri siku zinavyoenda.

Hii inaonyesha kwamba mipango ya Wamagharibi imekwiva na kuhakikiwa vizuri.
_____________

Putin anajiandaa kwa vita vya muda mrefu- Marekani

Vladmir Putin anajiandaa kwa vita vya muda mrefu nchini Ukraine, huku hata ushindi katika eneo la mashariki hautamaliza mzozo huo, idara ya kijasusi ya Marekani imeonya.

Onyo hilo linakuja huku mapigano makali yakiendelea katika eneo la mashariki, ambako Urusi inajaribu kuchukua eneo.

Moscow ilielekeza nguvu mpya kwa wanajeshi wake kuteka eneo la Donbas baada ya Ukraine kukataa majaribio ya kuchukua mji mkuu wake wa Kyiv.

Lakini licha ya hayo, vikosi vyake vimesalia katika mkwamo, taarifa za kijasusi za Marekani zilisema.

Avril Haines, mkurugenzi wa ujasusi wa kitaifa, aliiambia kamati ya Seneti ya Marekani iliyosikiza Jumanne kwamba Bw Putin bado ana nia ya "kufikia malengo zaidi ya Donbas", lakini kwamba "anakabiliwa na kutofautiana kati ya matarajio yake na uwezo wa sasa wa kijeshi wa kawaida wa Urusi".

Aliongeza kuwa rais wa Urusi "pengine" alikuwa akitegemea msaada wa Marekani na EU kwa Ukraine kudhoofika huku mfumuko wa bei, uhaba wa chakula na bei ya nishati ikizidi kuwa mbaya.

Hata hivyo, rais wa Urusi anaweza kugeukia "njia kali zaidi" huku vita vikiendelea - ingawa Moscow ingetumia tu silaha za nyuklia ikiwa Bw Putin ataona "tishio lililopo" kwa Urusi.

Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Ulinzi Scott Berrier aliambia kikao hicho kwamba Warusi na Waukraine walikuwa "katika mkwamo kidogo".

Katika mapigano ya hivi punde zaidi, Ukraine inadai kutwaa tena makazi manne katika eneo la kaskazini-mashariki la Kharkiv.

Cherkasy Tyshky, Ruski Tyshky, Rubizhne na Bayrak wote yalinyakuliwa kutoka kwa Urusi, vikosi vya silaha vya Ukraine vilisema.

Rais Volodymyr Zelenskiy alisema mafanikio ya Ukraine yanasukuma hatua kwa hatua vikosi vya Urusi kutoka Kharkiv, ambayo imekuwa ikishambuliwa tangu vita hivyo.

Lakini alisema Waukraine "hawapaswi kuunda mazingira ya shinikizo nyingi za maadili, ambapo ushindi unatarajiwa kila wiki na hata kila siku".

Screenshot_20220511-112711_1.jpg
 
Hiki ndicho unachoweza kusema, Marekani sasa yaanzisha propaganda za kwamba Putin ana mpango wa vita ya muda mrefu ili waendelee kupeleka misaada ya kivita na kifedha, lengo likiwa ni kuyakomboa maeneo yote ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi na hatimaye kuingia Moscow moja kwa moja na kumfurusha Putin Kremlin kadri siku zinavyoenda.

Hii inaonyesha kwamba mipango ya Wamagharibi imekwiva na kuhakikiwa vizuri.
_________________________________________

Hapa source bbc
 
Naona mnaichukulia Russia kimchezo mchezo. Msifikili kabisa Russian hana hizo silaha kali kama hizo mnazojaribu kumpa Ukraine na tena za Russian zinaweza zikawa kali na za maangamizi makubwa zaidi. Jinsi USA inavyompushi mrusi, hii vita inaweza ikaja kuwa ya kihistoria.
Marekani ina chuki kubwa sana na Russia na anatumia nguvu nyingi sana kuieneza lakini hatafanikiwa. Anaona Russia ndio taifa pekee linalomchelewesha kuitawala dunia atakavyo
 
Hakuna anayeichukulia kimchezo imekutana na wababe wenzake, safari hii hachomoki.
 
Wewe ni wale watu wanajuwa sana kuandika na kupangilia maneno ya maandishi yenu ila pumba grade one. Sources
Leta hoja yako pinzani Mr acha hizo, mleta mada kaeleza vizuri kwa ufasaha za upande wake leta za upande wako watu wafanye fact checking. Sources nyingi tu zimetoa taarifa hiyo, telegram na the sun pia nimeona wamechapisha. Note, in modern warfare only propaganda and logistics are most valued
 
Hachana nao hawanaga hoja hawa.
 
Marekani hawezi ivamia Urusi,Russia ni nuclear power tusisahau hilo
Nikweli us hawezi kufanya hivyo coz Russia anatumia nukes kama defence mechanism. Mzozo unaoendelea ukraine ni proxy war yaani hapa mabeberu yamezamilia kumpa hasara Russia.
 
Lazima yameweke kwny target safari hii hayamuachi
 
Back
Top Bottom