CIA walitumia wa Uyghurs kuiharibu China na kumuondosha Assad Kanali wa US anatoa siri

CIA walitumia wa Uyghurs kuiharibu China na kumuondosha Assad Kanali wa US anatoa siri

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China.

Pia anasema wanatumia military power kuharibu mpango wa China wa B.R.I pia kagusia suala la US kupeleka majeshi Afghanistan,Pakistan sababu zilizo tolewa zilikuwa geresha.

Pia anasema US imetumia wa Uyghurs ili kumuondosha Assad Syria.

Msikilize hapa
Lawrence Wilkerson, chief of staff of former U.S. Secretary of State Colin Powell, speaks about the three purposes of the U.S. military stationed in Afghanistan. One stated purpose is the containment of China.

View: https://youtu.be/9v2kSjpF9HA?si=XKAHjHD86A_E6BMC
 
Ulipigwa msako hapo Xinjiang hatari wanajua wenyewe nini walichokifanya mpaka sasa marekani haishi kulalamika kila siku.
Hadi marekani na washirika wake wakapiga propaganda kwamba China imewafungia waislam zaidi ya milioni 1 sehemu 1 huku ikiwalisha kitimoto 🤣🤣
 
Hadi marekani na washirika wake wakapiga propaganda kwamba China imewafungia waislam zaidi ya milioni 1 sehemu 1 huku ikiwalisha kitimoto 🤣🤣
Haah kwa mara ya kwanza marekani ilionesha kuwajali waislam kupita maelezo ila hii dunia hakuna anayefikia unafiki wa US
 
Haah kwa mara ya kwanza marekani ilionesha kuwajali waislam kupita maelezo ila hii dunia hakuna anayefikia unafiki wa US
Alafu nyumbu wa huku hawashtuki tu nao wanasambaza hizo propaganda... Kuna kina Yoda na ndugu zake
 
Kwa China au Russia hata watokee magaidi wa kiislam kuwafanyia ugaidi namna gani lkn jihadists wa JF hawatasimama na hao magaidi na badala yake wataunga mkono serikali za China au Russia.

Ili uwe muumini mzuri wa hizi dini za kuletewa sifa kuu lazima uwe bonge la mnafiki lakini uzuri ni kwamba Mungu wa ukweli hatambui dini kama chombo alichoidhinisha kama njia ya kumfikisha mtu kwake.
 
Unachukia tu dini za kuletewa ila jinzi na air max za kuletewa unatamba nazo!!
 
Back
Top Bottom