DA HUSTLA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 3,805 Reaction score 4,107 Mar 20, 2012 #21 Jamani mi naona gharama bandari ya bongo ni kubwa sana,kwani nikiagiza kwa kupitia bandari ya kenya kuna unafuu wa gharama ntakaoupata?
Jamani mi naona gharama bandari ya bongo ni kubwa sana,kwani nikiagiza kwa kupitia bandari ya kenya kuna unafuu wa gharama ntakaoupata?