Cif and FOB

Cif and FOB

Akimbute

Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
16
Reaction score
4
Wapendwa habari zenu.
Wana jamii nlikua naomba elimu zaidi kuhusu CIF AND FOB,,tofauti yake hasa ni ipi?
Na je nkiagizia gari,,miamala ya kibenki naifanya vipi?
 
CIF, Cost, Insurance, and Freight Ghalama za kutoa gari kiwandani mpaka bandari A, upakiaji, usafirishaji mpaka ushushaji kwenye bandari B zinalipwa na muuzaji. Wewe utafidia ghalama hizo unapomalizia malipo ukipata mzigo, vile vile uharibifu au upotevu wa mzigo utakua ni juu yao.

FOB Free on board Kampuni itapokea malipo na wewe mnunuzi utatakiwa utafute wakala wa usafirishaji ambae atashughulikia kila kitu mpaka unapata mzigo, vile vile kampuni haitahusika kwa namna yoyote iwapo mzigo utaharibika au kupotea.

Kuhusu miamala ya kibenki huwa wanatoa namna ya kufanya malipo ila inashauriwa utumie wataalamu wa huduma hizo. Hii ni kitokana na biashara ya matandao kuwa na changamoto nyingi.
 
Shukran
 
Back
Top Bottom