CIF ya gari vs calculator ya TRA

CIF ya gari vs calculator ya TRA

Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI.

CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka?

Ipi I atakuwa iwe kubwa?

Cif ya gari au TRA culculator?
Used Motor Value calculator inatumika kama guide.

Hata ikitokea mabadiliko yatakuwa madogo sana.

Kwa makadirio TRA wanatumia hiyo CIF custom value most of time inakuwaga kubwa kidogo na ile value uliyoagiza wewe.
 
Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00.
Kama nimekosea naomba kurekebishwa🙏🙏
Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ?
 
Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ?
Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10.

Hao ndo TRA wa bongo Dasilamu
 
Shacman
Screenshot_2023-06-21-17-30-57-324_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2023-05-24-19-30-57-312_com.android.chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2023-06-21-17-30-57-324_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-06-21-17-30-57-324_com.android.chrome.jpg
    51 KB · Views: 19
Back
Top Bottom