Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Used Motor Value calculator inatumika kama guide.Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI.
CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka?
Ipi I atakuwa iwe kubwa?
Cif ya gari au TRA culculator?
Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ?Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00.
Kama nimekosea naomba kurekebishwa🙏🙏
Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10.Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ?
😀Kwa biyo hakunaga formality,..Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10.
Hao ndo TRA wa bongo Dasilamu