UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 173
hi wanajamii
Naomba kuuliza kwa hapo Tanzania kuna kituo chochote ambacho kinatoa review class kwa ajili ya hii mitihani ya CIMA hasa kwenye level ya mwisho? au ni mwendo wa online tu? maana online gharama inakuja kwenye kukutumia vitabu vyao. kama kuna mtu anaefanya hii mitihani hapo home naomba anihabarishe kama bongo kuna agency yoyote anaetoa hii huduma.