Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Ndo nani hao?
Dah!! Jombaaa!!Cynthia ameolewa na jamaa mmoja hivi anaitwa richard wapo dsm kumbe walianzia kwenye movie tena hollywood
Bado yuko fit na mgomvi!Mzee wa kubariki na kuua je? Boro Young ... nafkr nw lazima anatembelea mkongoji!
umeona eeh?Jk generation utaijua tu! Chezeiya cinthia rothrock?
Huyo naye ana muda hajaonekana kwenye movies jina lake kamili ni Yang Li-Tsing hilo la cynthia khan ni muunganiko wa Cynthia rothrock na Michelle Khan(mcheza film mwingine naye mkali wa martial arts).
Acha uongo dogo,Cynthia Khan ni mtu mwingine,Cynthia Rothrock ni mtu mwingine,Michelle Khan(Yeoh) ni mtu mwingine pia kulikuna Moon Lee na Yukari Oshima!Ukitaka kumjua Cynthia Khan tazama Tiger Cage amecheza na Donnie Yuen kama vinara wa filam!Michelle Khan muone kwenye Tai-Chi ya Jet Li au police story ya Jackie Chan
Nilikuwa sijui hili mkuu japo uzi wa siku nyingi, nilikuwa najua ni jina tu Cynthia Khan ni jina tuHuyo naye ana muda hajaonekana kwenye movies jina lake kamili ni Yang Li-Tsing hilo la cynthia khan ni muunganiko wa Cynthia rothrock na Michelle Khan(mcheza film mwingine naye mkali wa martial arts).
Bolo atakua kazeeka. Alikua ananofurahisha sana akitikisa zile 6 packs. Halafu anakuambia you are nextMzee wa kubariki na kuua je? Boro Young ... nafkr nw lazima anatembelea mkongoji!
Ana miaka 71 sasa hiviBolo atakua kazeeka. Alikua ananofurahisha sana akitikisa zile 6 packs. Halafu anakuambia you are next
Sent using Jamii Forums mobile app
Double impact naikumbuka. Ila movie nyingine waliyo-act Van Damme na Bolo Yeung inaitwa BLOOD SPORT. Ni movie kali sana ya martial artsAna miaka 71 sasa hivi
Unakumbuka Double Impact
https://video.search.yahoo.com/sear...90172cc2ab367d6bc4b254f9293c57c0&action=click