Cinthia Rothrock na Richard Norton

Cinthia Rothrock na Richard Norton

Huyo mama ameshaastaafu! Kwa sasa ni Director! Hapo Hollywood!
 
Nini tena jombaa tena majuzi tu wamefunga bonge la harusi hivi mpo bongo ipi nyie
 
Kaka ntakuwekea link moja uwafuatilie huyo richard na demu wake dah ni wa ukweeee
 
Huyo naye ana muda hajaonekana kwenye movies jina lake kamili ni Yang Li-Tsing hilo la cynthia khan ni muunganiko wa Cynthia rothrock na Michelle Khan(mcheza film mwingine naye mkali wa martial arts).

Acha uongo dogo,Cynthia Khan ni mtu mwingine,Cynthia Rothrock ni mtu mwingine,Michelle Khan(Yeoh) ni mtu mwingine pia kulikuna Moon Lee na Yukari Oshima!Ukitaka kumjua Cynthia Khan tazama Tiger Cage amecheza na Donnie Yuen kama vinara wa filam!Michelle Khan muone kwenye Tai-Chi ya Jet Li au police story ya Jackie Chan
 
Kabla ya kutuhumu ilibidi uelewe vizuri au uombe ufafanuzi kama mimi ndio sijaeleweka.nimesema ni muunganiko nilikuwa na maana ya majina,hao ndio ni watu watatu tofauti na wote nawajua(through movie),fuatilia historia ya jina Cynthia Khan and then urudi tena.
 
Huyo naye ana muda hajaonekana kwenye movies jina lake kamili ni Yang Li-Tsing hilo la cynthia khan ni muunganiko wa Cynthia rothrock na Michelle Khan(mcheza film mwingine naye mkali wa martial arts).
Nilikuwa sijui hili mkuu japo uzi wa siku nyingi, nilikuwa najua ni jina tu Cynthia Khan ni jina tu
 
tulikuwa tunamuita chaina enzi zile kutokana na movie yake ya china obrien, na huyu kaka kwenye picha nae alikuwa konyo aisee
upload_2017-9-5_10-16-35.png
 
Back
Top Bottom