Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho
Ikiwa kwa mujibu wa sheria ni hali zao iweje iwe ngumu kuzipata hizo circular mbalimbali
naomba kuwasilisha
Ikiwa kwa mujibu wa sheria ni hali zao iweje iwe ngumu kuzipata hizo circular mbalimbali
naomba kuwasilisha