CISCO Tanzania

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Nataka kusoma CISCO hapa Bongo,je center gani wana naweza kupata train nzuri na bei nafuu(nitajie na bei kabisa) na mitihani ya CISCO ni kiasi gani?
 
Jaribu University Computing Centre (UCC). Kuna wakati fulani walikuwa wanatoa mafunzo hayo. UCC pia ni Cisco Certified Training Centre.
 
Kozi nzima ni gharama ngapi nina maana ile inayolipwa aparting form Coaching
 
mara ya mwisho ilikuwa $600...kama ni mwanafunzi wa chuo..ni vema ukajiunga ktk vyuo husika bei inakuwa chini kidogo..lkn kama si mwanafunzi wa vyetu hapa nchini..basi kamua tu huko UCC...

Pia unaweza kukamua nyumbani kwako ukaenda kufanya paper tu..paper ni dola 150-200
 
pIA dAR Tech wanafundisha.......beio yao nadhani 600$,UCC,TECHNOBRAIN NA CATS PIA WANAFUNDISHA...PAPER UNAFANYA VUE AU POMETRIC CENTRES(UCC AU CATS)
 
pIA dAR Tech wanafundisha.......beio yao nadhani 600$,UCC,TECHNOBRAIN NA CATS PIA WANAFUNDISHA...PAPER UNAFANYA VUE AU POMETRIC CENTRES(UCC AU CATS).KAMA UKO NJE DAR ARUSHA,DODOMA NA MWANZA UCC WANA BRANCHES....SIJUI MBEYA
 
naomba kujua tofauti ya hivi vitu wanaJf
CCNA
CCNP
CCDP
CCSP

hizi ni kozi tofauti?
 

Ni kweli kuwa unaweza kujisomea mwenyewe home na kwenda kufanya certification ikiwa tu we we mwenyewe upo katika mzaingira ya IT hasa networking maana unahitaji handson/technical know how zaidi tu ya kupata 1000 out of 1000 kwenye certification exam.

Pili, unapata punguzo la ada ya mtihani (voucher exam) ikiwa utasoma kwenye center inayotambuliwa na cisco, kuwa center ya mtihani ni kitu tofauti na kuwa tranining center. Kwenye hilo punguzo unapata offer ya 70% ya ada ya mtihani. Tafadhari usichanganye na tuition fee ya course.

Wewe kama unataka kufanya hapo bongo wewe angalia sehemu yenye kukidhi hayo hapo juu.

Asante.

 
Thanks man.....kwenye job najua jamaa wanakula mshiko mrefu sana lakini kama unajua mengine hata hayo ya kazi weka tu hapa mkuu

Karibu sana man!

Ishu ya job market ni pana sana ila inakuwa governed na unampango wa kufanya kazi wapi au self employment. Kwa upana zaidi certification zimefafanuliwa kwenye forum moja inaitwa http://sadikhov.com nenda hapo huenda utafunguka mawazo zaidi na zaidi.

Asante.
 
naomba kujua tofauti ya hivi vitu wanaJf
CCNA
CCNP
CCDP
CCSP

hizi ni kozi tofauti?
Mkuu,hizi kozi ni tofauti ila lengo lake ni moja kama ifuatavyo..
CCNA ni kozi ya mwanzo kabisa,ni sawa na uji wa maziwa wa asubuhi,kwa nchi zilizoendelea kwenye IT CCNA iz nothing kwa siku hizi,kwani ni sawa tu na knowledge uliyoipata shuleni.
CCNP ni kozi inayofuatia baada ya CCNA ila ili uipate nayo imegawanyika katika makundi matatu,yaani hiyo CCDP imo ndani yake,then baada ya hapo kuna njia mbili,either uishie hapo na uchukue CCIE au uchukue CCSP then uchukue CCIE,kwa kurahisisha kuna CCIE kama tano,Security,Service provide,storage,Routing and Switching(R&S) na ya mwisho ni Voice(VOIP),sasa kama unataka kuchukua hiyo CCIE-Security ni lazima ufanye mtihani wa CCSP(Security Professional),mingine yote haina haja ja CCSP labda kwa matashi yako,ccie NI LAZIMA IFANYIKE kwenye kampuni yao wenyewe,ila kwa bahati mbaya Africa hakuna center so kwa wale wenye uchu na wapo nje ya nchi ndio muda wajameni huu,
Ni hayo tu,kwa mwenye maswali au ushauri anaweza kuniona kwani mimi ndio namalizia CCIE Security soon(China),u can also log to my website niliyodesign kwa ajili ya foreign students here in Wuhan uone jinsi tunavyoishi,
www.fostiw.com ,
 
CCNA ni kozi ya mwanzo kabisa,ni sawa na uji wa maziwa wa asubuhi, kwa nchi zilizoendelea kwenye IT CCNA iz nothing kwa siku hizi,kwani ni sawa tu na knowledge uliyoipata shuleni.


Labda utumie neno tofauti, vinginevyo naona utakuwa unapotosha kidogo. CCNA ni msingi mzuri kwa mtu anayetaka kujifunza Computer Networking.



.
 
nashukuru,mkono hauna mifupa,bilitaka kumaanisha kuwa CCNA sio cheti cha kujivunia ila ni msingi kama ulivyosema then inabidi uendelee mbele.
Nashukuru kwa kukosolewa kwani ndio mwendo na samahani kwa niliowakwaza.
 
nashukuru,mkono hauna mifupa,bilitaka kumaanisha kuwa CCNA sio cheti cha kujivunia ila ni msingi kama ulivyosema then inabidi uendelee mbele.
Nashukuru kwa kukosolewa kwani ndio mwendo na samahani kwa niliowakwaza.


Ulitaka kusema "ulimi"? 🙂




.
 
Cisco Certified Network Professional (CCNP)
Cisco Certified Network Associate Routing & Switching (CCNA)
Cisco Certified Design Professional (CCDP)
Cisco Certified Security Professional (CCSP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…