Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kujua tofauti ya hivi vitu wanaJf
CCNA
CCNP
CCDP
CCSP
hizi ni kozi tofauti?
Thanks man.....kwenye job najua jamaa wanakula mshiko mrefu sana lakini kama unajua mengine hata hayo ya kazi weka tu hapa mkuuAngalia kwenye site CISCO yenyewe utapata majibu sahihi ya maswali yako. Labda kama ulikuwa unazungumzia ishu za job market sasa hilo litakuwa ni swala lingine.
http://www.cisco.com/web/learning/le3/learning_career_certifications_and_learning_paths_home.html
Asante.
Thanks man.....kwenye job najua jamaa wanakula mshiko mrefu sana lakini kama unajua mengine hata hayo ya kazi weka tu hapa mkuu
Mkuu,hizi kozi ni tofauti ila lengo lake ni moja kama ifuatavyo..naomba kujua tofauti ya hivi vitu wanaJf
CCNA
CCNP
CCDP
CCSP
hizi ni kozi tofauti?
CCNA ni kozi ya mwanzo kabisa,ni sawa na uji wa maziwa wa asubuhi, kwa nchi zilizoendelea kwenye IT CCNA iz nothing kwa siku hizi,kwani ni sawa tu na knowledge uliyoipata shuleni.
nashukuru,mkono hauna mifupa,bilitaka kumaanisha kuwa CCNA sio cheti cha kujivunia ila ni msingi kama ulivyosema then inabidi uendelee mbele.
Nashukuru kwa kukosolewa kwani ndio mwendo na samahani kwa niliowakwaza.
Techno Brain Professional Training Solutions May Day OffersKuna jamaa wa NEW HORIZON nao wanafundisha ila sijui bei yao
visit http://www.technobrainltd.com