Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Naomba ushauri wadau nina mpango wa kusoma mojawapo kati ya hizo kozi, ni ipi kozi nzuri katika soko la ajira?
Natanguliza shukrani!
Natanguliza shukrani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa cisco unaweza piga CCNA na CCNP bado ukapigwa benchi...kwa ushauri piga CCIE Kama unaweza...Kwa Oracle fanya OCP ajira nje nje...
Katika ubora wako.soma pre form one au english course ajira nje nje
Samahani mheshimiwa, unaongea kutokana na uzoefu au maneno uliyoskia kwa watu??
Kwa cisco unaweza piga CCNA na CCNP bado ukapigwa benchi...kwa ushauri piga CCIE Kama unaweza...Kwa Oracle fanya OCP ajira nje nje...
sidhani kama unaweza kuruka kwenye CCIE bila kupitia level za Associate na Professional, ni wazo zuri ila mpaka kuifikia hiyo CCIE lazima apige kwanza certificate za chini yake
Mimi ni ICT Expert wa mda mrefu kampuni yetu kipindi cha nyuma tulikua tunaajiri CCNP holder na OCA...lakini kwa kipindi hiki hata ukiwa na CCNP au OCA unaweza tusikupe kazi kutokana na wanaoomba kazi wenye CCNP na OCA wapo wengi....kwa hiyo tunashauri kama una CCIE au OCP au MCSE ni PM kazi zipo....Gross tunatoa 2.5M kama mzoefu...ila kama unaanza Gross tutakupa 1.8M siyo zaidi ya hapo...kila mwaka huwa tunapandisha mishahara kutegemea na uwezo kazini after Job Performance Review..
Nina Mdogo wangu kasoma Accounts je anaweza soma hizo kozi
Nina Mdogo wangu kasoma Accounts je anaweza soma hizo kozi
Mimi ni ICT Expert wa mda mrefu kampuni yetu kipindi cha nyuma tulikua tunaajiri CCNP holder na OCA...lakini kwa kipindi hiki hata ukiwa na CCNP au OCA unaweza tusikupe kazi kutokana na wanaoomba kazi wenye CCNP na OCA wapo wengi..
kwa hiyo tunashauri kama una CCIE au OCP au MCSE ni PM kazi zipo....Gross tunatoa 2.5M kama mzoefu...ila kama unaanza Gross tutakupa 1.8M siyo zaidi ya hapo...kila mwaka huwa tunapandisha mishahara kutegemea na uwezo kazini after Job Performance Review..
Hivi kuna CCIE ngapi Tanzania hii?Mimi ni ICT Expert wa mda mrefu kampuni yetu kipindi cha nyuma tulikua tunaajiri CCNP holder na OCA...lakini kwa kipindi hiki hata ukiwa na CCNP au OCA unaweza tusikupe kazi kutokana na wanaoomba kazi wenye CCNP na OCA wapo wengi....kwa hiyo tunashauri kama una CCIE au OCP au MCSE ni PM kazi zipo....Gross tunatoa 2.5M kama mzoefu...ila kama unaanza Gross tutakupa 1.8M siyo zaidi ya hapo...kila mwaka huwa tunapandisha mishahara kutegemea na uwezo kazini after Job Performance Review..
Aisee.!! Kumbe ndio maana nilikuwa naona kiarabu tu.Asipoteze muda wake kusoma hivyo vitu. Ndugu hizo ni professional za watu wa network na programmer. Akienda soma ataona chenga tu .
Mkuu samahani hizo couse ni hadi usome kwanza IT?Mimi ni ICT Expert wa mda mrefu kampuni yetu kipindi cha nyuma tulikua tunaajiri CCNP holder na OCA...lakini kwa kipindi hiki hata ukiwa na CCNP au OCA unaweza tusikupe kazi kutokana na wanaoomba kazi wenye CCNP na OCA wapo wengi....kwa hiyo tunashauri kama una CCIE au OCP au MCSE ni PM kazi zipo....Gross tunatoa 2.5M kama mzoefu...ila kama unaanza Gross tutakupa 1.8M siyo zaidi ya hapo...kila mwaka huwa tunapandisha mishahara kutegemea na uwezo kazini after Job Performance Review..
Nivizuri uwe umesomea IT .Mkuu samahani hizo couse ni hadi usome kwanza IT?
Zipo baadhi siyo nyingi sana.. Ninaowajua wapo 6...Hivi kuna CCIE ngapi Tanzania hii ?