Data na Biti
Member
- Apr 4, 2011
- 40
- 13
Nop siyo lazima... But t s gud if u have that background.. It is similar like cpaMkuu samahani hizo couse ni hadi usome kwanza IT?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nop siyo lazima... But t s gud if u have that background.. It is similar like cpaMkuu samahani hizo couse ni hadi usome kwanza IT?
Soko liko sana kwenye infosec, nafikiria ku-divert my career towards IT security pia.Na ipi coz nzuri Kati ya master in information security na master in information technology management. Smhn mwenye uelewa anisaidie
HAHAA.., DAH NI KWELI HIZO NI PROFESSIONAL AMBAZO ZINA BACKGROUND ZAKE HUWEZI KUKURUPUKA TUAsipoteze muda wake kusoma hivyo vitu. Ndugu hizo ni professional za watu wa network na programmer. Akienda soma ataona chenga tu .