Citations za Maprofesa Bongo

Citations za Maprofesa Bongo

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.

1. Anthony Mshandete, 2439 citations

2. Kitila Mkumbo,
of

3. Kulikoyela Kahigi,

4. Elizabeth Mwakasangula,

5. Daniel Mushi
 
Acha ukorofi wewe, moderators ondoeni huu uchokozi usio na maana una nini hasa na waalimu wetu wewe ?
 
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.

1. Anthony Mshandete, 2439 citations

2. Kitila Mkumbo,
of

3. Kulikoyela Kahigi,
Safi sana wanatuwakilisha vizuri kimataifa
 
Kahigi na Anthony 👍👍 good job kazi nyingi Huyo Kitila kikazi kimoja tu maneno mingi.
 
Maprofesa wa bongo hawana doctrine. Unakuta badala ya kutengeneza nukuu zao wananukuu za Nyerere ambaye hakuwa hata na P.H.D
 
Professor Kabudi je?
Dr. Tulia Ackson?
 
Kabudi professa aliyeokotwa jalalani na Magu!! Huyu mgogo Alijivunjia heshima sana kwasababu ya njaa.
 
Back
Top Bottom