Citi bank Arusha inapatikana wapi?

Citi bank Arusha inapatikana wapi?

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Habari zenu wana JF...Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiitafuta hii Citi Bank hapa Arusha bila mafanikio yoyote...Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu hii bank ilipo.
 
citi bank ipo Dar pekee
 
Citi Bank ni DSm tu! hii sio benki zetu hizi za kikabwela!

Walifungua tawi Mwanza nadhani wenyewe USA makao makuu wakakasirika wakawaambia funga haraka huko vijijini wakafunga!!!!!!!
 
Hiyo si benki ya kuja Arusha, Dar kwenyewe wana tawi moja tu!
 
Na DAR kwenyewe inaonekana wateja wake ni makampuni matupu. Huenda imeletwa na Wamarekani specifically kutoroshea vijisenti vya wawekezaji toka nchini kwao.
 
Ofcourse Citi bank ni ya marekani.
 
Back
Top Bottom