Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Habari zenu wana JF...Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiitafuta hii Citi Bank hapa Arusha bila mafanikio yoyote...Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu hii bank ilipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko arusha
wapigie wakuelekeze 255 27 2502957
citi bank ipo Dar pekeeHabari zenu wana JF...Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiitafuta hii Citi Bank hapa Arusha bila mafanikio yoyote...Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu hii bank ilipo.
citi bank ipo Dar pekee
Hiyo si benki ya kuja Arusha, Dar kwenyewe wana tawi moja tu!
Na DAR kwenyewe inaonekana wateja wake ni makampuni matupu. Huenda imeletwa na Wamarekani specifically kutoroshea vijisenti vya wawekezaji toka nchini kwao.