JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Mfungwa wa kisiasa si lazima awe mwanasiasa. Kesi za kisiasa mara nyingi hazina ushahidi.Uamsho wameachiwa?
So uamsho ni politicians kumbe? sasa how come wengine wanawaita viongozi wa dini while ni wanasiasa kumbe.
Sijasema wameachiwa ila wameagizwa washughulikie haraka waachiwe. Sasa hujaelewa nini hapo?Nani ameachiwa? wewe uhoni kama kichwa chako haujaweza kukishughulisha vizuri.
Huyo na mitusi yake abaki ndani tuMdude, na wengine wengi waliopewa kesi za uhujumu uchumi na madawa ya kulevya.
Yule mzee alistahili kufanywa kuni jehanamu.
Acha uwongo wewe CITIZEN TV haimilikiwi na Agakhan. inamilikiwa na Nation media Group.Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.
Kwani manyang'au mmeyasahau jamani! Hayaridhiki mpaka yatuongelee wabongo tena yanapenda kutuongelea vibaya tu hayaongeagi vitu vizuriTelevisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.
Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?
Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?
Au Citizen wanamchafua rais wetu?
wamegeuza bunge la kijani hakuna hoja tena wanafanya jinsi kiongozi wao anavyotakaMaswali kama haya ndio angeulizwa Waziri mkuu jana
Wahujumu uchumi wa kweli hawakukamatwa na kushitakiwa kwakuwa walikuwa upande wa Bw Yule. Waliokamatwa ni Wafanyabiashara halali ambao kimtizamo walikuwa hawamuungu mkono Bw Yule bali upande wa maadui wake wa Kisiasa.Kwa hiyo Tanzania haikuwai kuwa na wahujumu uchumi zile kelele miaka yote zilikuwa ni za kisiasa?
Hiyo TV si ya Kenya! Inawezekana hao wafungwa ni wa Kenya.Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.
Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?
Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?
Au Citizen wanamchafua rais wetu?
Mdude aendelee tu kunyea debeMdude kakutwa na unga ndani kesi yake sio ya kisiasa.
Lakini je Mdude kaachiwa?
malizia hapo aliposema haitoshi....
Ila wao ndio walitangaza JPM ameugua kipindi ambacho media za bongo zilikua kimya. So it has happened before na walikua sahihiKenya wamekuwa vyombo vya habari kuliko msemaji mkuu wa serekali.siku zoto raisi hawezi semewa nchi ya watu mpaka nisikie nchini mwangu
Ndugu yenu ni nani hapa Africa ?!Kenya sio ndugu zetu so kufanya lolote kutuchafua inawezekana kabisa kwa maana wana gain kupitia ilo.
Unafungwa kwa sababu za kisiasa wakati haufanyi siasa? Kabla ya kutetea mambo jipangeMfungwa wa kisiasa si lazima awe mwanasiasa. Kesi za kisiasa mara nyingi hazina ushahidi.
Wahujumu uchumi wa kweli hawakukamatwa na kushitakiwa kwakuwa walikuwa upande wa Bw Yule. Waliokamatwa ni Wafanyabiashara halali ambao kimtizamo walikuwa hawamuungu mkono Bw Yule bali upande wa maadai wake wa Kisiasa.
Inaonekana una majibu yako.sasa unasumbua watu nini.Nenda kawaulize hao Citizen Tv acha kutuchosha.Wewe unaewajua wataje na utuambie wameachiwa lini?
Inaonekana hata tafsiri ya neno kufanya siasa huielewi. Jitanue kifikra.Unafungwa kwa sababu za kisiasa wakati haufanyi siasa? Kabla ya kutetea mambo jipange
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .Wewe ni bendera hakuna unachojua, maisha yanakuchanganya na wanasiasa wanakuvuruga.
Mbona thread ya walioachiwa ilikuwepo hapa jana?Inaonekana una majibu yako.sasa unasumbua watu nini.Nenda kawaulize hao Citizen Tv acha kutuchosha.
Alikuwa ni kiongozi wa hovyo snMagufuli alifikisha nchi kubaya sana
Wewe unaewajua wataje na utuambie wameachiwa linI: Ujinga hacha mwendazake na serikali yake imewaumiza wengi. hacha uJinga ndg..