Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

Uamsho wameachiwa?

So uamsho ni politicians kumbe? sasa how come wengine wanawaita viongozi wa dini while ni wanasiasa kumbe.
Mfungwa wa kisiasa si lazima awe mwanasiasa. Kesi za kisiasa mara nyingi hazina ushahidi.
 
Hawa Citizen TV hawajui kitu wanaleta propaganda tu. Tanzania haina mfungwa wa kisiasa hata mmoja ila inawafugwa wa makosa ya jinai tu. Na hakuna aliyeachiwa na Rais Mama Samia eti ni mfugwa wa kisiasa. Vyombo vya Habari vingi vya Kenya viko kutetea wizi na ufisadi uliokuwa unafanya na Wakenya wakishirikiana na mafisadi ya kimataifa dhidi ya Tanzania. Citizen TV inamilikiwa na Aga Khan Foundation ambao ndiyo wanamiliki Aga Khan Hospitals za Tanzania ambazo wakati wa Korona walikuwa wanatoza wagonjwa pesa ya kukomoa kwa hiyo usitegemee zuri lolote toka Foundation hiyo dhidi ya Watz.
Acha uwongo wewe CITIZEN TV haimilikiwi na Agakhan. inamilikiwa na Nation media Group.
 
Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.

Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?

Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?

Au Citizen wanamchafua rais wetu?

Kwani manyang'au mmeyasahau jamani! Hayaridhiki mpaka yatuongelee wabongo tena yanapenda kutuongelea vibaya tu hayaongeagi vitu vizuri
 
Kwa hiyo Tanzania haikuwai kuwa na wahujumu uchumi zile kelele miaka yote zilikuwa ni za kisiasa?
Wahujumu uchumi wa kweli hawakukamatwa na kushitakiwa kwakuwa walikuwa upande wa Bw Yule. Waliokamatwa ni Wafanyabiashara halali ambao kimtizamo walikuwa hawamuungu mkono Bw Yule bali upande wa maadui wake wa Kisiasa.
 
Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.

Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?

Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?

Au Citizen wanamchafua rais wetu?

Hiyo TV si ya Kenya! Inawezekana hao wafungwa ni wa Kenya.
 
Kenya wamekuwa vyombo vya habari kuliko msemaji mkuu wa serekali.siku zoto raisi hawezi semewa nchi ya watu mpaka nisikie nchini mwangu
Ila wao ndio walitangaza JPM ameugua kipindi ambacho media za bongo zilikua kimya. So it has happened before na walikua sahihi
 
Wahujumu uchumi wa kweli hawakukamatwa na kushitakiwa kwakuwa walikuwa upande wa Bw Yule. Waliokamatwa ni Wafanyabiashara halali ambao kimtizamo walikuwa hawamuungu mkono Bw Yule bali upande wa maadai wake wa Kisiasa.
Screenshot_20210507-081347_Opera Mini.jpg
 
Wewe ni bendera hakuna unachojua, maisha yanakuchanganya na wanasiasa wanakuvuruga.
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .

Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote hawa walishitakiwa kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali na kutotii amri halali katika geti la gereza la Segerea , Jambo lililotafsiriwa kama nia ovu ya kutaka kuvunja Gereza
 
Inaonekana una majibu yako.sasa unasumbua watu nini.Nenda kawaulize hao Citizen Tv acha kutuchosha.
Mbona thread ya walioachiwa ilikuwepo hapa jana?
Huyu jamaa ni mjinga achana naye
 
Back
Top Bottom