mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
- Thread starter
-
- #61
Walikuwa wafungwa? unaelewa maana ya prisoner?Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .
Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote hawa walishitakiwa kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali na kutotii amri halali katika geti la gereza la Segerea , Jambo lililotafsiriwa kama nia ovu ya kutaka kuvunja Gereza
Mjinga ni wewe unaedhani maisha yako magumu yamesababishwa na Magufuli.Mbona thread ya walioachiwa ilikuwepo hapa jana?
Huyu jamaa ni mjinga achana naye
Mtu atachezea mvua hivi karibuni wewe kalia propaganda tuUle unga aliwekewa na UVCCM tawi la Mbeya mjini. Kesi ndio inaendelea kusikilizwa ataachiwa.
Hivi Samia kawa Rais wa Kenya siku hizi? Halafu siku si nyingi Samia atauvaa mkenge wa kuruhusu Wakenya kuingia Bongo bila viza na kufanya kazi bila vibali, hapo ndo tutawajua WakenyaTelevisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.
Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?
Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?
Au Citizen wanamchafua rais wetu?
Achezee mvua kwa kesi za kubambikiwa na magufuli?Mtu atachezea mvua hivi karibuni wewe kalia propaganda tu
Acha ujinga......ni mahakama gani imethibitisha kua mdude kakutwa na unga?Mdude kakutwa na unga ndani kesi yake sio ya kisiasa.
Lakini je Mdude kaachiwa?
Hao walikuwa wafungwa?Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .
Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote hawa walishitakiwa kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali na kutotii amri halali katika geti la gereza la Segerea , Jambo lililotafsiriwa kama nia ovu ya kutaka kuvunja Gereza
Habari yenyewe imekaa kisiasa, ni nani hao wameachiwa? Kwa majina.Magufuli alifikisha nchi kubaya sana
5 May 2021Tanzania ilikuwa imefikia pabaya,walinyimwa uhuru wa kusema, kukusanyika kufanya siasa, kuzushiwa kesi za ajabu na walifungwa waliteswa na kudhalilishwa pia mali zao na akaunti benki fedha kuzuiliwa , uchafuzi wa chaguzi n.k
Hao ni raia wa nchi zingine wanafanyiwa hivyo na Marekani. Hakuna raia yeyote wa Marekani anafanyiwa hivyo ndani ya nchi yake lakani hapa kwetu ni watanzania wanafanyiwa hivyo ndani ya nchi yao. Huoni huo utofauti?Magaidi waliokamatwa dunia nzima na Marekani walikaa mahabusu kule Quantanamol kwa muda wa zaidi ya miaka kumi bila hata kufikishwa mahakamani. Afadhali hawa wa TZ walishafikishwa hata mahakamani mkuu.
Sitaki hata kuyafikiria mkuu, ujambazi wa Munguki utahamia Tanzania,uporaji ndani ya mabenki - who knows hata elements zinazo endelea huko Somalia zinaweza kuwa grafted hapa kwetu kiaina ili Tanzania ionekane mbele ya Kimataifa kwamba hatuna amani - narudia kukumbusha watanzania wenzetu kwamba hata siku moja Wakenya hawatakaa chini kuitakia mema Tanzania - tuishi karibu nao kwa uangarifu sana - tusijifanye ya 1977 does not count at all - hicho ni kipimo tosha cha kupima UTU wao,walitudharirisha sana.Hivi Samia kawa Rais wa Kenya siku hizi? Halafu siku si nyingi Samia atauvaa mkenge wa kuruhusu Wakenya kuingia Bongo bila viza na kufanya kazi bila vibali, hapo ndo tutawajua Wakenya
Tuko hapa kesi iko mwishoni hiyo.Achezee mvua kwa kesi za kubambikiwa na magufuli?
Uhujumu uchumi ulikuwepo na bado, upo kwa sababu awamu ya 5 haikuutafutia dawa, bali ilitumia kesi hizo kukomowa watu fulani na kukusanya mapato! Wao wenyewe walikuwa wahujumu uchumi, na hawajapona dhambi hiyo, mpaka sasa!Kwa hiyo Tanzania haikuwai kuwa na wahujumu uchumi zile kelele miaka yote zilikuwa ni za kisiasa?
Siasa ya Ujamaa ilikuja kugeuza watu wote wenye fedha kuwa Wahujumu UchumiKwa hiyo Tanzania haikuwai kuwa na wahujumu uchumi zile kelele miaka yote zilikuwa ni za kisiasa?
Huna akiliHao walikuwa wafungwa?