Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

Sitaki hata kuyafikiria mkuu, ujambazi wa Munguki utahamia Tanzania,uporaji ndani ya mabenki - who knows hata elements zinazo endelea huko Somalia zinaweza kuwa grafted hapa kwetu kiaina ili Tanzania ionekane mbele ya Kimataifa kwamba hatuna amani - narudia kukumbusha watanzania wenzetu kwamba hata siku moja Wakenya hawatakaa chini kuitakia mema Tanzania - tuishi karibu nao kwa uangarifu sana - tusijifanye ya 1977 does not count at all - hicho ni kipimo tosha cha kupima UTU wao,walitudharirisha sana.
Ingelikuwa hivyo wala tusingepatana na wa Uganda . Ukiishi kwa vinyongo utaumia mwenyewe.
 
Siasa ya Ujamaa ilikuja kugeuza watu wote wenye fedha kuwa Wahujumu Uchumi

Mimi nakumbuka jamaa yangu alikuwa na kamgahawa kadogo alikamatwa na gunia moja la kilo mia la unga wa Ngano akawekwa kizuizini gerezani huko Bariadi
Screenshot_20210507-081347_Opera Mini.jpg
 
Mdude kakutwa na unga ndani kesi yake sio ya kisiasa.

Lakini je Mdude kaachiwa?
Hyo kesi ya Unga kavalishwa tu ili wamuweke gerezNi, bt uhalisia ni kitendo chake cha kumkosoa marehemu na ukizingatia marehema hakupenda kukosolewa. Wapo pia waliovalishwa makesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha etc, kimsingi marehemu hakuwa binadamu kabisa.
 
Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru.

Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa?

Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia?

Au Citizen wanamchafua rais wetu?

Nazai wale waking na Jacob na mdee walioachiwa jana

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Uamsho wameachiwa?

So uamsho ni politicians kumbe? sasa how come wengine wanawaita viongozi wa dini while ni wanasiasa kumbe.
Kesi ni ya kisiasa hawana kosa jengine Zaid ya kuusema vibaya muungano Hapana cha ugaidi wala nini
 

4 May 2021​

Haki Africa appeals to Pres. Samia Suluhu Hassan to release activists arrested in Tanzania​


Source : Kenya CitizenzTv
Haki Africa appeals to Pres. Suluhu to release activists arrested in Tanzania Lobby group claims activists have been held for long without charges
Civil society actors drawn from Kenya, Uganda and Tanzania have implored Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan to release more than 100 human rights activists, journalists and political prisoners incarcerated by the previous regime for criticising the 2020 general election.

The Haki Africa human rights group that made the statement on behalf of their colleagues in the region acknowledged the move by President Suluhu to pardon 5,000 prisoners last week, stating that notable human rights defenders are still languishing in correctional facilities.

“We acknowledge your stature as a progressive leader to the People of Tanzania, East Africa and Africa at large. As civil society organizations, we have confidence and faith in your leadership and the good example you continue to set. Your Excellency, we African civil society actors from all walks of life, view the citizens of the United Republic of Tanzania as our brothers and sisters,” read the statement released on Tuesday.

“We affirm that any concern arising from your country is our collective concern. From the interactions, reports and media highlights, we have come to learn and appreciate your recent move to release over 5,000 prisoners from prison, some of who were detained during the recently concluded electoral process in Tanzania. Indeed, you have shown the way for other African leaders to follow.”

According to Haki Africa, there are at least 100 known human rights defenders, journalists and political activists still being detained over the last election.

“…from our partners in Tanzania, we have come to learn that, there may still be others including human rights defenders, journalists and political activists, who may still be incarcerated in prisons across Tanzania. It is our belief that they too were arrested in relation to Tanzania’s 2020 general elections. Attached is a list of about 100 who we fear may still be held in prisons,” they stated.


“Through this statement, we appeal to you, first as a mother, secondly as a civil society colleague and thirdly as the President of the United Republic of Tanzania, to consider releasing and or pardoning them. This request is keeping in-line with your government’s commitment to fulfill its obligations under international laws and statutes guarding human rights, rule of law and democracy.”
 
Back
Top Bottom