Citizenship and resident by investing......!

Citizenship and resident by investing......!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Nashuhudia nchi nyingi duniani zikijipatia mapesa mengi kwa utaratibu huu, je Tanzania haiwezi kuadopt program hii itasaidia katika kukuza pato la Taifa letu?

America utakapokuwa na dollars 800,000/- uraia kwako ni wa moja kwa moja hakuna mjadala, alimradi watachunguza source ya fedha zako kuhusu uhalali wake na uwe na familia isiyozidi watu 4

Kwanini taifa letu lisipractise zoezi la namna hii, nitaweka baadae nchi mbalimbali zenye program za namna hii ikiwepo pia Spain, Greece, Malta N. K.
 

Attachments

  • FB_IMG_1698016694671.jpg
    FB_IMG_1698016694671.jpg
    25.1 KB · Views: 4
Ndugu hamna mtu anataka uraia wa nchi kama Tanzania, ila wazee wa dili yaani vigogo wa watakatisha pesa au wauza unga.
 
Back
Top Bottom