City Battle: Mombasa vs Dar es Salaam

City Battle: Mombasa vs Dar es Salaam

hili ndo jibu rahisi na ukushindwa kuelewa hapa hutaelewa daima

akili yako haina akili basi hebu chukua population ya nairobi divide by 696 km sq alaf uone itakuletea ngapi??????
fanya hesabu hio na ndio utajua population density ya nairobi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hesabu haiongopi sio kila anaeishi nairobi anamiliki eneo ndio maana kibera ina 2.5 million people wote hawana eneo hao achilia mbali slums zingine🙄🙄🙄
more than 70% watu hawana ardhi ndio maana yake
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] at last umeelewa...BREAKING NEWS:after 24 hours ichoboy(a "Russian university graduate" finally understands population density)
 
umeelewa wewe au nimeelewa mm niliekuelewesha 😀😀😀😀😀😀😀😀
so ndio ujue ardhi hamuna munaishi kwenye slums na munanuka umaskini
kila sq meter moja ina watu 5029 hebu imagine hayo ni maisha kweli
wakati dar kila sq meter moja ina watu 2514
 
Iyo density kuelewa kwako ilikua shida sana...the most dense place in Nairobi is Eastlands not kibera
 
Achana nae huyu, atajiona ana ushawishi humu Jf.
 
Iyo density kuelewa kwako ilikua shida sana...the most dense place in Nairobi is Eastlands not kibera
😀😀😀😀😀😀😀 mm sikuhitaji population density mm nilitaka urban city area
mbona unajitetea kua sio kibera wakati ina 2.5 million people
 
Haha kibera has 170 000 residents according to census ya 2009..its not even the most populated constituency
 
Kibera has 170000 people hizo number zako labda umetoa kwa haga yako
Acha uwongo more than 80% ya population ya Nairobi wanaishi kibera. note Nairobi population ni 3.3 million. 2009 statistics
IMG_20170621_112259.JPG
 
Back
Top Bottom