Civil engineer? Click here.

Civil engineer? Click here.

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,143
Reaction score
948
Wanaforum salaam,
Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers....
.SHUKRAN.
 
Wanaforum salaam,
Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers....
.SHUKRAN.

uko mwaka wa ngapi?
 
achana na engeneering utakufa na njaa na kupauka kwenye jua kali la bongo..

hiyo waachie wachina waliobeba soko la bongo..
 
Wanaforum salaam,
Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers....
.SHUKRAN.

Tanzania maengineer ni wa theory sio practical
 
tanzania maengineer ni wa theory sio practical

kutojithamini huanza namna hii......au wa chini ya mwembe a.k.a jua kali.....ambao naamini ni mahiri katika practical kama wakiwezeshwa si wa tanzania?
 
Mh...a guess there aint any engineer who can share his/her experience...allez.
 
Back
Top Bottom