Granite
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 268
- 624
Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na kampuni au taasisi yanafikiwa kwa wakati uliopangwa, gharama nafuu na kwa ubora unaotakiwa.
Ninao uzoefu wa kusimamia Miradi ya Majengo na barabara nilioupata kupitia kampuni kadhaa nilizowahi kujitolea ili kujifunza kazi, Ninaweza kutumia software za Kihandisi kama AutoCAD, Prota, Master series etc, Microfoft Office Package. Ninaweza kuandaa Schedule of Activities, Materials kuandaa Certificates. Nipo tayari kufanya kazi kama Site Engineer, Quality Assurance officer, Structural Design Engineer,
Asanteni Wakuu