Civil or mechanical engineering

Civil or mechanical engineering

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
Wakuu nategemea kuchukua moja kati ya hizo kozi (Bachelor) , Na nipo dilemma hasa ukizingatia swala la uchaguzi wa course ni gumu.. Ningependa kuchukua ipi ipo marketable na urahisi wa upatikanaji ajira..
 
Mechanical engineer haina dili....civil engineer ina dili lakini sio sanaaa kwa sababu ya ushindani....nakushauri nenda chemical and processing engineer
 
Mechanical engineer haina dili....civil engineer ina dili lakini sio sanaaa kwa sababu ya ushindani....nakushauri nenda chemical and processing engineer
Nashukuru kwa ushauri,, Unaweza nipa details kidogo za Chemical and Processing engineering kama sehemu ya kufanyia kazi.. Maana industrial sector haijawa developed
 
Civil engineering iko njema,lakni huo mziki wake lazima uombe poo.
 
Mechanical engineer haina dili....civil engineer ina dili lakini sio sanaaa kwa sababu ya ushindani....nakushauri nenda chemical and processing engineer

"Chemical and processing engineer" hiyo ni kozi gan mkuu!?
 
Mimi nimesoma civil engineering, is the best! Mechanical mhhh????? .... Nakula bata tu kama naishi kwa obama vile kumbe hapa hapa tz
 
Mechanical Eng, ipo fresh na hata civil Eng nayo ipo bomba pia, nenda ukasome kile unacho kipenda
 
Back
Top Bottom