Habari yako! Naomba kujua kama bado uko na uhitaji wa kaziHabari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma in Civil Engineering mwaka 2017 pia namalizia masomo yangu ngazi ya Bachelor in Civil Engineering katika chuo cha DIT. Kwa sasa natafuta nafasi ya kazi katika kampuni ama mradi wowote kama Civil Technician au pia hata kufanya kazi za Civil Engineer. Mawasiliano yangu ni 0654224037, napatikana Dar es salaam.
Habari kuna dogo kasoma civil and irrigation engineering vipi unaweza kumchukua ana degree.Habari yako! Naomba kujua kama bado uko na uhitaji wa kazi
tatizo Experience Boss,kama anayo hakuna tatizoHabari kuna dogo kasoma civil and irrigation engineering vipi unaweza kumchukua ana degree.
If yes nitakupatia email yake kwa mawasiliano zaidi.
Sawa wacha nimuulize ana experience ya mda gan?tatizo Experience Boss,kama anayo hakuna tatizo
Ndiyo unajibu Leo baada ya miezi 5? Ulipokuwa ndiyo wakupe kazisalama.. ndiyo kwa sasa nina uhitaji wa kazi
Hakuna kitu kama hicho kwenye Dunia ya kibepari, anytime not anybodyUzuri ni kwamba Maboss huwa hawapo kama wewe, akihitaji mtu anytime anachukua ilmradi kazi zake zisisimame.
check pm yakosalama.. ndiyo kwa sasa nina uhitaji wa kazi
Kuna Senior Civil Technician nae anatafuta kazi. Unamsaidiaje?Habari yako! Naomba kujua kama bado uko na uhitaji wa kazi
Habari!Pole sana nilishatoka kule,ila jaribu kupitia kwenye tovuti ya www.bhladwa.co.tzKuna Senior Civil Technician nae anatafuta kazi. Unamsaidiaje?