Civil Technician/Civil Engineer

Civil Technician/Civil Engineer

Sirleh94

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
12
Reaction score
9
Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma in Civil Engineering mwaka 2017 pia namalizia masomo yangu ngazi ya Bachelor in Civil Engineering katika chuo cha DIT. Kwa sasa natafuta nafasi ya kazi katika kampuni ama mradi wowote kama Civil Technician au pia hata kufanya kazi za Civil Engineer. Mawasiliano yangu ni 0654224037, napatikana Dar es salaam.
 
Habari yako! Naomba kujua kama bado uko na uhitaji wa kazi
 
Back
Top Bottom