MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Ebana bachelor ya fani zilizotajwa hapo juu ni ipi bora zaidi kwenye upande wa mshiko, ajira na kujiajiri? na ni ipi rahisi zaidi kupata ajira?
nifahamisheni ndugu zangu nisije kusota na vyeti vyangu mtaani!!!
kwani wewe umechaguliwa kozi gani.
Nilidhani CIVIL Engineering imeshakuwa dissolved into water resources, structural & highway engineering. Well, issue ya degree VS ajira ipo complex kidogo. Kuna graduate engineers wengi sasa wameajiriwa fani tofauti kabisaaa.
Miaka mingi kidogo niliwahi kujiuliza swali kama lako na nikaomba ushauri kwa watu wengi. By then, Electrical Engineering ilikuwa hot-cake kwelikweli maana kampuni za simu ziikuwa ndo zinaanza na graduate electrical engineers walikuwa wanadakwa juu juu hata kabla hawajamaliza
Kuna mdau (electrical engineering technician) alinishauri nisisome Electrical engineering, bali nijoin Civil Engineering. Sikumbuki sababu kubwa aliyonipa ila mwisho wa siku nilijoin Civil Engineering. Sijajutia uamuzi wangu mpaka leo.
Wadau na metallurgy and mineral processing eng, iko vip? Wakuu msaada
Do what you have passion for, trust your own instincts and follow your heart. You will always be at peace.Ebana bachelor ya fani zilizotajwa hapo juu ni ipi bora zaidi kwenye upande wa mshiko, ajira na kujiajiri? na ni ipi rahisi zaidi kupata ajira?
nifahamisheni ndugu zangu nisije kusota na vyeti vyangu mtaani!!!
Nilidhani CIVIL Engineering imeshakuwa dissolved into water resources, structural & highway engineering. Well, issue ya degree VS ajira ipo complex kidogo. Kuna graduate engineers wengi sasa wameajiriwa fani tofauti kabisaaa.
Miaka mingi kidogo niliwahi kujiuliza swali kama lako na nikaomba ushauri kwa watu wengi. By then, Electrical Engineering ilikuwa hot-cake kwelikweli maana kampuni za simu ziikuwa ndo zinaanza na graduate electrical engineers walikuwa wanadakwa juu juu hata kabla hawajamaliza
Kuna mdau (electrical engineering technician) alinishauri nisisome Electrical engineering, bali nijoin Civil Engineering. Sikumbuki sababu kubwa aliyonipa ila mwisho wa siku nilijoin Civil Engineering. Sijajutia uamuzi wangu mpaka leo.
Hapo umenikosha .. Nikakomae na Civil yangu.. Mambo yatakaa level ..Eti mkuu kwenye swala la ajira wapi panalipa zaidi kufanya kazi serikalini au Katika Private sector
mbaya hiyoo..!
Wadau na metallurgy and mineral processing eng, iko vip? Wakuu msaada
unauliza kazi huna professional? umekwisha
Mkuu "you'll remember my words"
Nahisi the best engineering courses kwa sasa ni petroleum engineering ikifuatwa na mineral and processing...iko hot kinoma,komaa umalize vizuri then uje ujilinganishe na akina civil,electrical,mechanical nk: utagundua kua haukukosea dira..

Piga Electrical bhana... Mimi mpaka sasa bado dijajutia uamuzi wanguelectrical mwana