Civilian-Coin azindua mavazi rasmi yaitwayo "African map wear" au " Home boy gear"

Civilian-Coin azindua mavazi rasmi yaitwayo "African map wear" au " Home boy gear"

C-C Digital Pro

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
361
Reaction score
532
Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
BackgroundEraser_20260810_000224749.png
BackgroundEraser_20260810_000759715.png
 
Big Up- Big Up..sana Mkuu..

Kutoka Kuimba -Masifu Ya Ubruda mpaka HipHop&Rnb..si mchezo ...

'...Moyo waaangu..wamtukuza..wamtukuza Bwanaaaa....Na roho yangu..inashangiliaaa×2..'
 
Bhangi eeeeh
Watu wa bhang mpo?
Wala siyo Bangi na wala usimcheke...
Hiyo situation aliyo nayo ni - Man Made-.Yuko remoted na Mfumo fulani wa Kanisa Katoliki ambao hutumika zaidi kwa watu waliowahi kupitia Maisha/ Malezi/Masomo ya Miito ya Ndani ya Kanisa Kikatoliki kama Ubruda,Usista na Upadri..kisha wakaachishwa au wakaacha wenyewe.
Waseminaristi wengi walio Walevi wa kupindukia tulio nao makazini huku Uraiani,ni wahanga wa huu Mfumo wenye kutesa watu na wa kusikitisha..

Lengo ni kuhadaa watu waamini kwamba Mungu wa Ukweli Yuko Kwenye Watumishi wa Kanisa Katoliki..eti walimuacha sasa anawafuatilia..!!

Mara kadhaa huwa na mufuatilia hata Mwamposa kwenye maombezi ya Watu wake huwa anaikemea hii hali.hope anaufahamu nayo pia..."..Remoting Spirits.." hulitamuka hili neno kwa hisia kali sana.
 
Bora wewe sio chawa, mkuu naomba nikupige picha huwa natoza 30k kwa picha moja ila nitakupiga bure kabisa.
 
Back
Top Bottom