C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Mkwe wa Obama!Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
View attachment 3647788View attachment 3647789
Tupo ila mwenetu ni makushabuBhangi eeeeh
Watu wa bhang mpo?
Haupatikani mgerasiDah ila bangiπ
Ngoja lile sakata lipite kwanza mkuu, twitter sio watu aseeHaupatikani mgerasi
Cc CastrCivilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
View attachment 3647788View attachment 3647789
Wala siyo Bangi na wala usimcheke...Bhangi eeeeh
Watu wa bhang mpo?
Alie karibu na huyu jamaa ampokonye hio simuCivilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
View attachment 3647788View attachment 3647789
Umeona eeehh....We jamaa una akili sana ila kuna kitu hakiko sawa.
Hili vazi ni la kimataifa. Mteja wa kwanza ni mkwe wa Boss, Obama
We jamaa una akili sana ila kuna kitu hakiko sawa.