Civilian-Coin azindua mavazi rasmi yaitwayo "African map wear" au " Home boy gear"

Hakuna lolote, ni mtu mwenyewe tu akiamua kufyatuka anafyatuka. Mbona wapo kibao tu walikuwa karibu kabisa na kupata daraja la upadre na wakapiga chini, na mtaani wametoboa vizuri tu.
Huyu anamatatizo yake tu binafsi, fuatilia cases zake na mambo yake mengine
 
Utakuwa ni Padri wewe au Askofu Mkatoliki,ndiyo maana unatetea..Mimi nafahamu mpaka na vigezo vya nani awemo/asiwemo kabisa/awemo kwenye hiyo hali kwa kipindi maalumu/afe kabisa/afiwe mke,Mtoto,mme/asizae,aishiwe nguvu za Kiume/asiwe na hamu ya kunyaduliwa(Masista hao) ..na mengineyo mengi tu..

Kama unabisha tulianzishe hapa na hii ni JF usiichukulie poa.Ni kokolo....

Ndicho unacholenga wewe hapa..
 
Utakuwa ni Padri wewe au Askofu Mkatoliki,ndiyo maana unatetea..Mimi nafahamu mpaka na vigezo vya nani awemo/asiwemo kabisa au awemo kwenye hiyo hali kwa kipindi maalumu..

Ndicho unacholenga wewe hapa..
 
Nimewahi kusoma mahali mahojiano ya Askofu Severin NiweMugizi na Gazeti Moja hapa Nchini..
Alibanwa kuhusu hili na akapoteza ghafula ile kujiamini kwake na kuanza kubwabwaja kama wewe hivi..
Hakuna siri Duniani hapa..
Ni rahisi kuaminisha kwamba umejificha sana kumbe kwa watu umechutama,watu walisha ku shit kitambo na unadharaulika tu.
 
Tofauti yako wewe na huyu jamaa ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…