C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
ramli za kijinga...nani aachie madraka , utukufum U- mungu.............................Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN).
NANI KUJIUDHURU Urais?
Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai Kila eneo. Tega sikio na macho.
View attachment 3648558
Anaweza asijiuzulu lakini akalazimishwa kujiuzulu au ikibidi kuwekwa pembeni. Na October 29, 2025 ni kweli imepita ILA haitokaa isahaulike kamwe. Mambo bado yanachemka.Labda huko kwingine lakini sio hapa Malawi, kama oktoba 29 ilipita na inaelekea kusahaulika hakuna wakujiuzulu hapa
win-one Jamaa ako anasema bado mmoja πππ.Yameanza kutimia bado mmoja.