C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
AliyemfungaMpaka sasa bado najiuliza huyu na waliompa kifungo jela nani hana akili!
HahaaHuyu mwamba dishi lilikua limeyumba
KvpAfya ya akili
Hapo Malia Obama lazima aje Kahama kwa Ng'wana Maria huku anamlilia Civilian Coin.
Ulipotelea wapi mwamba?
Wengi tunaangamia kwa kutojiaminiNingepewa 1/2 ya hizi confidence, ningekua mbali sana.