CJ Maraga - Mtu wa Mungu na watu

CJ Maraga - Mtu wa Mungu na watu

kindafu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,346
Reaction score
1,678


Nimevutiwa sana na CJ Maraga! Hakika ni mtu wa Mungu na mtu wa watu! Mungu ambariki sana!
 
Nani mtu wa shetani.
Anasifika kwa kukosoa serikali kila uchwao.
 
Yuko tayari kusimamia Katiba ya Nchi na kulinda uhuru wa mahakama bila kuogopa vitisho kutoka mihimili mingine! Judiciary ya Tanzania ina mengi ya kujifunza hapa!
 
Back
Top Bottom