cjui kwann jf wanamchukia diva wa clouds

cjui kwann jf wanamchukia diva wa clouds

Status
Not open for further replies.

tunalazimika

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
1,098
Reaction score
259
kwa bahat mbaya nimejikuta nikisikiliza clouds fm na kwa bahat mbaya nikamkuta diva hewan_kwa kwel nimejengewa humu jf ya kumchukia huyu dada ila baada ya kusikia tone yake kwny uendeshaj wa kipind chake, kwa kwel huyu dada anajitahid sana na nashindwa kujua ivi kwann hum jf tunamchukia_najua mliozaliwa mmetanguliza mikono nje mtaanza kwa kutukana, kwa kila atakayefanya ivo mi tayar nimeshamrudishia mwenyewe
 
if you believe she's wow it's ok. hiyo haikufanyi uwe mtu 'upstairs'. Labda maeneo mengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom