G
guest-1787486720
Guest
Mafao changamoto jamani
Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf?
Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba niliyooanga na Nina familia sijui na fanya nini jamani??