G guest-1787486720 Guest Aug 23, 2026 #1 Mafao changamoto jamani Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf? Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba niliyooanga na Nina familia sijui na fanya nini jamani??
Mafao changamoto jamani Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf? Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba niliyooanga na Nina familia sijui na fanya nini jamani??
King Rabbit JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 1,203 Reaction score 4,394 Aug 26, 2026 #2 Doooh pole sana mkuu
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,985 Reaction score 5,167 Sep 4, 2026 #3 Ulilipwa?