Tunakusubiri.
Nilisema ntarudi ili kujifunza zaidi.
Isipokuwa, kwa mujibu wa ESP na PSI, claovoyancy bado inasumbua vichwa vya wanasayansi.
So kusema hiyo kitu ni sawa na "ukalumanzila" wa kibongo sidhani kama ni sahihi.
Daaaah hili ndo lilikua gazeti mkombozi wa watanzania na waafrika kwa ujumla kifikra na mitazamo nalikumbuka sana hata kabla halijafungiwa na kuachiwa tena...hakika tumempoteza mtu muhimu sana katika jamii brother Munga Tehenan mwandishi mkuu wa Jitambue hakika alisupply relief kwa watu wengi.Niliwahi kusoma katika gazeti la Jitambue nadhani ilikuwa 2003-04. Kulikuwa na habari ya Prof. mmoja wa UDSM aliyefanya utafiti kuhusu clairvoyants hapa Tanzania. Alieleza kuwa alikwenda Pemba baada ya kuambiwa kulikuwa na mtu mwenye uwezo wa kukwambia jambo linalokuja mbele yako. Na alipofika alimkuta huyo mzee, mzee alimkaribisha wakawa na mazungumzo, kisha wakati wakiagana mzee huyo akamtakia safari njema ya kwenda USA. Prof. alishangaa aliporudi UDSM na kuambiwa ana safari ya kwenda USA. Bahati mbaya aliporudi Tanzania ili amtafute yule mzee alikuta mzee ameshatangulia mbele za haki.
Watu hao wapo hapa Tanzania, ila utasikia wanapewa majina kama vile "wachawi", "wapiga ramli", n.k. na hata humu kuna baadhi umeona wanawaita majina hayo. Nadhani ni kutokana na kutawaliwa kifikra na utamaduni wa kigeni.
Kweli mkuu....tuendelee kufunguka!!!Kweli fikra zetu zimetawaliwa sana na watu wa magharibi, ukiangalia wachina wameshika mila na tamaduni zao zimewatoa wako mbali sana, madaraja magumu wanajenga usiku, dawa zao ni za mitishamba tupu, fikra zao wamezilinda kwa nguvu zote, sasa wako mbali sana!! Hawa wakweli tunge waleo na kuwathamini nao wangefikia level fulani si haba tungekuwa hatua fulani.
Nawakilisha!!
Hivi hawa watu wanaoitwa Clairvoyants wanapatikana Bongo??ingawa sijui ni jinsi gani inaitwa kwa kiswaahili ila tafsiri yake ni somebody who is supposedly able to perceive things that are usually beyond the range of human sense(not astrologist)...najua ulaya na Asia wanapatikana...je Tanzania wapo pia???kuna mtu anaweza kuniambia??
Sangoma hao...:hat:
Wanaweza kuona Aura na seven bodies za MTU?Hawa wala sio sangoma manake huwa hawatibu......wanakuwa tu na huo uwezo toka kuzaliwa kwao!
Wanaweza kabisa Azimio Jipya!