Clairvoyants wanapatikana Tanzania?

Clairvoyants wanapatikana Tanzania?

Looh! Si hatari nilijulishwa kuwa kama mtu anaweza kuona aura yako ... anaweza kugundua siri zako nyingi ... !!

Hahahahhha usiogope Azimio Jipya manake hata akigundua atakusitiri tu.......wala hatamwambia yeyote lol!
 
Last edited by a moderator:
Daaaah hili ndo lilikua gazeti mkombozi wa watanzania na waafrika kwa ujumla kifikra na mitazamo nalikumbuka sana hata kabla halijafungiwa na kuachiwa tena...hakika tumempoteza mtu muhimu sana katika jamii brother Munga Tehenan mwandishi mkuu wa Jitambue hakika alisupply relief kwa watu wengi.
Chambo81... Point of correction......Gazeti la Jitambue halijawahi kufungiwa hata siku moja... Mimi nilikuwa mmoja wa waandishi wa gazeti hilo.
Ninachojua mimi lilisimama kuchapishwa kwake kutokana na wamiliki kushindwa kumudu gharama za kuliendesha, gazeti lilikuwa zuri lakini mauzo yalikuwa yako chini sana...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol......unaogopa nini Azimio Jipya ?.....sio siri nimecheka sana lolest!
sweetlady najuia inachekesha ..just imagine .. watu wengi wankuwa hivyo plus your hubby/firend ... nafikiri hiki si kitu cha kuendeleza hiki..labda swali ... kuna mahali unaweza kwenda kusomea hii taaluma?
 
Last edited by a moderator:
sweetlady najuia inachekesha ..just imagine .. watu wengi wankuwa hivyo plus your hubby/firend ... nafikiri hiki si kitu cha kuendeleza hiki..labda swali ... kuna mahali unaweza kwenda kusomea hii taaluma?
Azimio Jipya sina hakika kama hii kitu huwa inasomewa mahali.....nafikiri ni mtu anakuwa na huo uwezo tangu siku ya kwanza anapozaliwa ........unataka kwenda kusomea?....lol! Afu mie nadhani watu wengi wangejaliwa kuwa na huo uwezo hata maovu yangepungua sana haswa kwa wana ndoa......manake mtu angeogopa kuonwa na mwenzie lol!
 
Last edited by a moderator:
Chambo81... Point of correction......Gazeti la Jitambue halijawahi kufungiwa hata siku moja... Mimi nilikuwa mmoja wa waandishi wa gazeti hilo.
Ninachojua mimi lilisimama kuchapishwa kwake kutokana na wamiliki kushindwa kumudu gharama za kuliendesha, gazeti lilikuwa zuri lakini mauzo yalikuwa yako chini sana...
Thanks kwa kunijulisha hilo bro Mtambuzi..gazeti lilikosa wasomaji kwa sababu halikua na vitu ambavyo ni tangible au emotional kama watu wengi wanavyohitaji,lilikua na vitu muhimu kwa wafikiriaji wazuri tu...kama ulikua ni mmoja wa waandishi wa Jitambue basi mimi nilikua msomaji wako mpaka sasa ninazo copy za jitambue kabatini.

Nakumbuka tulikua tunafanya talk maeneo ya kimara kona enzi za uhai wa Munga,sintasahau siku niliyopigiwa simu nikiwa chuo IFM kujulishwa kwamba Munga ameuacha mwili...unaweza kujua ile crew yake iko wapi inafanya nini sasa hivi katika mambo ya utambuzi...au ndo ishapotea tena?

Sababu najua bado madini wanayo vichwani mwao natamani kukutana nao siku moja
 
nimeona hawa wenye jicho la 3, wanaoweza ona mtu atakuja fanikiwa tena kipindi mhusika hajui na yupo hoi akijikatia ulabu.Hawa wengi huanza mzongazonga sana huyu mtu ,tena kwa nguvu nyingi sana.Tena hutangaza vita live.

Na baadaye hawa walioonekana wakipona basi hubadilika ghafla na kung`aa.

Hawa nimewaona wengi sana.
 
Azimio Jipya sina hakika kama hii kitu huwa inasomewa mahali.....nafikiri ni mtu anakuwa na huo uwezo tangu siku ya kwanza anapozaliwa ........unataka kwenda kusomea?....lol! Afu mie nadhani watu wengi wangejaliwa kuwa na huo uwezo hata maovu yangepungua sana haswa kwa wana ndoa......manake mtu angeogopa kuonwa na mwenzie lol!
sweetlady, nataka nijue haya mambo kama wewe kwani wewe hukusomea?
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu ni wa muhimu sana mmojawapo ametusaidia sana hapo A town.
 
Back
Top Bottom