Looh! Si hatari nilijulishwa kuwa kama mtu anaweza kuona aura yako ... anaweza kugundua siri zako nyingi ... !!
Hahahahhha usiogope Azimio Jipya manake hata akigundua atakusitiri tu.......wala hatamwambia yeyote lol!
Chambo81... Point of correction......Gazeti la Jitambue halijawahi kufungiwa hata siku moja... Mimi nilikuwa mmoja wa waandishi wa gazeti hilo.Daaaah hili ndo lilikua gazeti mkombozi wa watanzania na waafrika kwa ujumla kifikra na mitazamo nalikumbuka sana hata kabla halijafungiwa na kuachiwa tena...hakika tumempoteza mtu muhimu sana katika jamii brother Munga Tehenan mwandishi mkuu wa Jitambue hakika alisupply relief kwa watu wengi.
Hah hah no, no ... Me dont want my wife be clairvoyant bana ...!!
sweetlady najuia inachekesha ..just imagine .. watu wengi wankuwa hivyo plus your hubby/firend ... nafikiri hiki si kitu cha kuendeleza hiki..labda swali ... kuna mahali unaweza kwenda kusomea hii taaluma?Hahahahahaha lol......unaogopa nini Azimio Jipya ?.....sio siri nimecheka sana lolest!
Azimio Jipya sina hakika kama hii kitu huwa inasomewa mahali.....nafikiri ni mtu anakuwa na huo uwezo tangu siku ya kwanza anapozaliwa ........unataka kwenda kusomea?....lol! Afu mie nadhani watu wengi wangejaliwa kuwa na huo uwezo hata maovu yangepungua sana haswa kwa wana ndoa......manake mtu angeogopa kuonwa na mwenzie lol!sweetlady najuia inachekesha ..just imagine .. watu wengi wankuwa hivyo plus your hubby/firend ... nafikiri hiki si kitu cha kuendeleza hiki..labda swali ... kuna mahali unaweza kwenda kusomea hii taaluma?
Thanks kwa kunijulisha hilo bro Mtambuzi..gazeti lilikosa wasomaji kwa sababu halikua na vitu ambavyo ni tangible au emotional kama watu wengi wanavyohitaji,lilikua na vitu muhimu kwa wafikiriaji wazuri tu...kama ulikua ni mmoja wa waandishi wa Jitambue basi mimi nilikua msomaji wako mpaka sasa ninazo copy za jitambue kabatini.Chambo81... Point of correction......Gazeti la Jitambue halijawahi kufungiwa hata siku moja... Mimi nilikuwa mmoja wa waandishi wa gazeti hilo.
Ninachojua mimi lilisimama kuchapishwa kwake kutokana na wamiliki kushindwa kumudu gharama za kuliendesha, gazeti lilikuwa zuri lakini mauzo yalikuwa yako chini sana...
Looh! Si hatari nilijulishwa kuwa kama mtu anaweza kuona aura yako ... anaweza kugundua siri zako nyingi ... !!
sweetlady, nataka nijue haya mambo kama wewe kwani wewe hukusomea?Azimio Jipya sina hakika kama hii kitu huwa inasomewa mahali.....nafikiri ni mtu anakuwa na huo uwezo tangu siku ya kwanza anapozaliwa ........unataka kwenda kusomea?....lol! Afu mie nadhani watu wengi wangejaliwa kuwa na huo uwezo hata maovu yangepungua sana haswa kwa wana ndoa......manake mtu angeogopa kuonwa na mwenzie lol!