Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He or She's a woman? [emoji15][emoji15]Of course he's a woman
He or She's a woman? [emoji15][emoji15]
Halafu tff washitakiwe, watawekaje mwanaume kwenye vyumba vya mabinti? Au huyu jamaa anaruhusa ya kubaka maana kutembea na binti under 17 ni ubakaji. Wazazi pelekeni mashitaka mahakamani.
Mimi ni nani niseme mengi?Mungu anajua kuumba jamani. Niishie hapa tu
Jamaa alikuwa sawa kulingana ujumbe alioukusudia....hujamsoma tu
clara we nenda alf ikiwezekana tutaomba mechi ya kirafik tena na Cameroon round hii goal 6Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri.
Huyu Clara amekuwa akichezea team ya Yanga Princess ya under 17. Sasa inasemekana wakati Tz inatafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia tulicheza na Cameroon, Huyu Clara aliwafunga wa Cameroon magoli matatu na alikuwa na spidi za ajabu yani mbio zisizoelezeka mpaka kuwashtua wa Cameroon ambao walianza kulalamika kuwa Clara ni mwanaume na afanyiwe uchunguzi, wa Cameroon nasikia walitaka mpaka kuingia chumbani cha Clara ili wamvue nguo kwa jinsi alivyowaadhibu kwenye mechi. Baadae wa Cameroon wakapeleka malalamiko FIFA.
Baada ya TZ kufuzu tu kuingia kombe la dunia TFF wakamuondoa Clara kambini maana walijua kabisa kesi inakuja, Na hata baada ya kumuondoa ila bado FIFA iliwaambia TFF wampeleke Clara South Africa kwa vipimo vya hormones.
Inasemekana kwamba Clara yuko South Africa hadi sasa huku vipimo vya hormones vikiendelea na so far wanadai amekutwa na hormones nyingi za kiume hivyo anaweza asiruhusiwe kucheza soccer la kike tena.
TFF ilibidi watoe tamko la Clara alipo na kile kinachoendelea sio kukaa kimya tu. Na inasemekana TFF walikuwa wanajua toka mwanzo Clara ni mtu wa dizaini gani ila walitaka tu wafuzu kuingia kombe la dunia then ndo wamuweke pembeni.
View attachment 2386620
View attachment 2386621
View attachment 2386623
View attachment 2386624
Nafikiri tunamhukumu vibaya huyu mwamba.Ila sioni kosa la Clara Wala TFF..
mwanamke utamjua kwa uke wake na mwanamme utamjua kwa uume wake hayo mambo ya homoni kuzidi sio kosa lao
Ni kweli .Kama Ana uke huyo ni mwanamke.hayo mengine ni ziada tu.Nafikiri tunamhukumu vibaya huyu mwamba.
Sasa tunamnyima haki yake ya msingi.
Hebu tuletee picha akiwa na wanawake wenzake,Mimi hapa namuona mwanaume kabisaKama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri.
Huyu Clara amekuwa akichezea team ya Yanga Princess ya under 17. Sasa inasemekana wakati Tz inatafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia tulicheza na Cameroon, Huyu Clara aliwafunga wa Cameroon magoli matatu na alikuwa na spidi za ajabu yani mbio zisizoelezeka mpaka kuwashtua wa Cameroon ambao walianza kulalamika kuwa Clara ni mwanaume na afanyiwe uchunguzi, wa Cameroon nasikia walitaka mpaka kuingia chumbani cha Clara ili wamvue nguo kwa jinsi alivyowaadhibu kwenye mechi. Baadae wa Cameroon wakapeleka malalamiko FIFA.
Baada ya TZ kufuzu tu kuingia kombe la dunia TFF wakamuondoa Clara kambini maana walijua kabisa kesi inakuja, Na hata baada ya kumuondoa ila bado FIFA iliwaambia TFF wampeleke Clara South Africa kwa vipimo vya hormones.
Inasemekana kwamba Clara yuko South Africa hadi sasa huku vipimo vya hormones vikiendelea na so far wanadai amekutwa na hormones nyingi za kiume hivyo anaweza asiruhusiwe kucheza soccer la kike tena.
TFF ilibidi watoe tamko la Clara alipo na kile kinachoendelea sio kukaa kimya tu. Na inasemekana TFF walikuwa wanajua toka mwanzo Clara ni mtu wa dizaini gani ila walitaka tu wafuzu kuingia kombe la dunia then ndo wamuweke pembeni.
View attachment 2386620
View attachment 2386621
View attachment 2386623
View attachment 2386624
Nitakuwa mshenga wako.Mungu anajua kuumba jamani. Niishie hapa tu
Tuanzie hapo maana hata mashoga wanahomone za kike ila Ni wanaumeKwani jinsia hutambulika kwa maumbile au kwa homoni?