ChiefNaomba Muongozo, nimekuwa nafatilia sana timu za wanawake huko nje, na timu yangu pendwa ni chelsea women.. asilimia kubwa wachezaji wote wanakuwa na mionekano ya kike.(wazuri) ila hapa bongo ukisikia kuna binti anacheza mpira basi usiangaike kujua anafananaje! total kama mwanaume! shida ni nini?
bado hajajua kuogopa na kutotaka..... sasa mwanaume aogope kumtongoza kwa lipi ila hawezi kumtongoza kwa muonekano wake......Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Yeye amewatongoza?Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Picha yake iko wapi mkuu?Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Ina maana hapo kuna picha yake?Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Huyu sio CLASSMATE wako mzee UshimenHii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....π
Ndiyo imewekwa hapo juu, huyu MkuuIna maana hapo kuna picha yake?
Acha utani basi!Ndiyo imewekwa hapo juu, huyu MkuuView attachment 3351706
Wanakuwaga na k tamu sana hawaHii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....π
Kaka corazon angalau... Hatukosoi uumbaji wa Mungu ila wengi wanajiweka kiumeChief
Hata akina Corazon wa Simba hujawaona kweli....?
HelloSawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Kumtongoza ni Ngumu labda umkute yupo uchi tayariStaa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Amcheki kibu dennis prosperStaa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
ππππHii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....π
Sasa mbona habari ya Clara halafu umetumia picha ya Kibu DennisStaa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
HehehHii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....π