Clarification:kuhusu tcu 4th round application

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
tcu imetangaza ku apply tena thru cas ,hii inawahusu wale waliokosa vyuo 1st,2nd and 3rd round na wale ambao hawakuomba kuwa wanunue vocha kwa 5
0 thousands,waombe tenah,..MWISHO NI TAR. 25 OCTOBER..more info visit tcu.go.tz/ukiona uelewi contact updatedboy*0768260834*
 
Vipi kwa wale wa diploma nao wanaruhusiwa kuapply?
Vp kwa yule anayeanza kuapply for the first time naye anaruhusiwa kuomba mkopo?
Hii imekaa vipi mkuu!
 
Vipi kwa wale wa diploma nao wanaruhusiwa kuapply?
Vp kwa yule anayeanza kuapply for the first time naye anaruhusiwa kuomba mkopo?
Hii imekaa vipi mkuu!

yeah,unaruhusiwa kuomba,mkopo mtatolewa utaratbu later we omba tu
 

Na darasa la xaba wanaruhusiwa kuapplyyy......overrrrrrrr
 
Habari wana Jf!
Naomba mwenye hilo tangazo la TCU kwa 4th round application atuwekee,kwani jana nimehangaika kutafuta kwa kutumi simu nimekosa taarifa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…