Clatous Chama ametua nchini kujiunga na klabu ya Simba

Clatous Chama ametua nchini kujiunga na klabu ya Simba

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Habari zilizotufikia ni kuwa tayari clatous chama ametua nchini kujiunga na klabu ya simba kama mchezaji wao mpya pia ili limethibitishwa na kamwaga msemaji wa simba piga makofii kwa simba management kwa kumleta Chama.

FB_IMG_16399392472527464.jpg
Screenshot_20211219-214101_Lite.jpg

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Yaan hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa simba!! Kila siku wanaingizwa cha kikee adi huruma daa
 
Yaan hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa simba!! Kila siku wanaingizwa cha kikee adi huruma daa
Wanajiingiza wenyewe, hakuna sehemu uongozi umesema chama karudi
 
Ni upumbavu mtupu kufurahia kumrejesha kwenye klabu mchezaji mliyeuumza miezi sita iliyopita.
Tujiulize hili swali, kwanini Chama aliuzwa jana halafu leo tunamnunua tena?
Makambo aliuzwa leo hii Yuko Yanga na tunafurahia uwepo wake. Ila simba wakiuza Halafu wakamrejesha mchezaji huyo inakuwa nongwa. Ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe
 
Yaan hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa simba!! Kila siku wanaingizwa cha kikee adi huruma daa
Yanga waliokuwa na akili timamu ni wawili tu, Sunday na Kikwete, waliobaki wote hamnazo..! (yaani hawana akili sawa sawa)

Tafakari kwanza hii kauli ya Msemaji wa Yanga Haji Manara, halafu ndo uje hapa ubaoni.
 
Kama kuna mijitu yenye nongwa tz nzima basi ni mishabiki ya yanga, yenyewe yamemrudisha makambo lakini yapo kimya ila Simba kumrudisha chama yanatokwa povu utadhani kitu gani, yule kocha wao aliyewaita nyani na mbwa hakukosea hata kidogo. Pumbav
 
Yaan hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa simba!! Kila siku wanaingizwa cha kikee adi huruma daa
wajinga sana yaani ishu ya morison tulidanganywa morison ni mchezaji wetu mpaka tukalipa pesa cas halafu akatushinda
 
Back
Top Bottom