MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia aliwakaribisha viongozi wa usajili wa klabu hiyo.
Baada ya mlo huo wa usiku Chota alibadilishana mawazo na Manji pamoja na viongozi wa usajili wa klabu ya Yanga kwa muda uliokadiriwa kufika masaa matatu au zaidi, mazungumzo hayo yalikuwa ya siri sana.
Baada ya mazungumzo na chakula hicho,Manji alimrudisha Chama nyumbani kwake .
HahaaaaWakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.
Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbii za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
teh teh teh! realy marvelous!Wakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.
Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbii za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
Huyu mtu kaandika kwa uchungu mkubwa sana hizi pumba zakeWakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.
Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbii za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
IPP...Wakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.
Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbii za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
Kha! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia aliwakaribisha viongozi wa usajili wa klabu hiyo.
Baada ya mlo huo wa usiku Chota alibadilishana mawazo na Manji pamoja na viongozi wa usajili wa klabu ya Yanga kwa muda uliokadiriwa kufika masaa matatu au zaidi, mazungumzo hayo yalikuwa ya siri sana.
Baada ya mazungumzo na chakula hicho,Manji alimrudisha Chama nyumbani kwake .
Hizo timu zilizoleta offers ni zile za kiafrica zilizokopi majina ya ulaya?Wakati Manji akihangaika na kupoteza muda wake na huyo ' Maestro Midfielder ' tayari Simba SC hadi jana tumeshapokea ' Offers ' tatu kutoka Liverpool FC, FC Barcelona na PSG na Uongozi wa Simba SC pamoja na ' Tajiri ' wetu Mohammed Dewji bado hawajawajibu kwakuwa kumbe hata Kocha cha Manchester United Jose Mourinho pamoja na ' Tajiri ' wa Chelsea nao wametoka kuwapiga Simu hivi punde tu wakimuhitaji huyo Mchezaji.
Endapo Simba SC itakubali ' Offers ' kutoka kwa hizo Klabu zote basi itaweza kupata Pesa ya Kujenge Viwanja kama Sita ( 6 ) vinavyofanana na huu wa Taifa, itaweza kuwalipa Mishahara ya Tsh Milioni 15 Wachezaji wake wote waliopo sasa, itanunua Ndege mbili za Kifahari, Meli yake ya Kifahari, Kujenga Klabu kubwa yenye eneo kama la Mlimani City na kuna Chenji itabaki ambayo Simba SC inaweza kuamua imkopeshe Manji ili ' afufue ' Kampuni zake nyingi ambazo sasa zimesimama na zingine tutawasaidia kuwalipia Yanga SC Mishahara ya Wachezaji wao kwa miaka miwili mfululizo na kuwasaidia kuboresha lile Bwawa lao la Samaki pale Kaunda.
Aliye leta ni mkia f.c mbumbumbuYanga hivi kwa nini mnalazimisha lazimisha sana kuhusu Manji? Jamaa kaachia ngazi na hajihusishi tena na mambo ya Yanga. Kubalini matokeo mkuu.