Clatous Chama ashiriki chakula cha usiku nyumbani kwa Manji,waongea mambo mazito kwa masaa 3

Clatous Chama ashiriki chakula cha usiku nyumbani kwa Manji,waongea mambo mazito kwa masaa 3

Hahahah

Eti chota alibadilishana Mawazo Na Manji

Ni Sawa Na kusema Baada ya Chakula Pohamba alibadilishana Mawazo Na Alhaji Aliko Dangote badala ya kusema Baada ya Chakula Pohamba aliwasilisha Changamoto zake Kwa Alhaj Aliko Dangote
Iq ya chura ndogo sana halafu wanasema kocha wao aliwatukana
 
Mchezaji wa simba Clatous Chota Chama maarufu kama tripple C, jana alikubalii kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Manji nyumbani kwa tajiri huyo, pamoja na waalikwa wengine Manji pia aliwakaribisha viongozi wa usajili wa klabu hiyo.
Baada ya mlo huo wa usiku Chota alibadilishana mawazo na Manji pamoja na viongozi wa usajili wa klabu ya Yanga kwa muda uliokadiriwa kufika masaa matatu au zaidi, mazungumzo hayo yalikuwa ya siri sana.
Baada ya mazungumzo na chakula hicho,Manji alimrudisha Chama nyumbani kwake .
kocha Luc Eymel kazungumza maneno makali ila anaweza kuwa sahihi. sio kwa utopolo huu
 
Back
Top Bottom