Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama

Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
IMG-20240815-WA0008.jpg
 
Sasa aanze kwa kumuweka nan bench?
Au meneja anataka aanze kwa dakika ngapi labda?
Kwa nionavyo labda awe anaanza kwa dakika tano then anatoka.
Gamondi alikua anamtendea haki sana kumpa dakika ishirini plus kwa hii yanga ni heshima kubwa.
 
Kabisa kabisa. Hizo 20+ nyingi sana kwa ile speed yake.
 
Mstaafu anayekula mafao yake.

Wachezaji wanaotoka Simba kwenda Yanga (na vice-versa) huwa wanakosea sana. Kuna siku nikitulia na nikipata muda nitakuja kuliongelea hili.
 
Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama

Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
View attachment 3070488
Hii habari yako ingekuwa na Chembe ya Ukweli, basi malalamiko yangepelekwa TFF kwamba Yanga wamekiuka Mkataba.
Ila kwa kuwa haina ukweli ndiyo maana unaji myanda-myanda. Kwani huko kupelekwa kwa mkopo nako si ni lazima Club iridhie au unatuona sisi ni matutisa wenzio?
Kingine, hata league haijaanzaa wala mashindano mengine hayajaanza, je bases ya hizo pelepete zako ni nini?
 
Sasa yanga waliingia mkataba huu bika kumshirikisha kocha, haoa ndipo kwenye matatizo makubwa haoa bongo, mikataba bongo ni kipengele lakini oia kusikiliza mahitaji ya mwalimu ni tatizo pia..
 
Back
Top Bottom