Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

Laana...au kistaarabu kidogo wanaita Karma
 
Uwanjani mikataba huwa haiingii kucheza,Bali kiwangi Cha mchezaji ndo kinachoamua achezeshwe au asichezeshwe.

Angekuwa halipwi sawa,lakini kuhusu Hilo,meneja anajisahau sana.
Ile ndo Dar Young Africans,hakunaga mbambamba
 
Legends has it saying:

"MUDA na NGUVU ndo silaha pekee katika maisha ya bin-adam"....

Meneja wa Chama naye anajizima data, kwahiyo nani asicheze pale DEPORTIVO CLUB de UTOPOLO ili mteja wake acheze hizo dakika 90?..
 
Mtakuwa mmefanyia ukatili wa hali ya juu. Mmemnyang'anya heshima aliyoijenga Simba kwa miaka mingi.
Heshima Kajinyang'anya mwenyewe mkuu.Amekua Kama Malaya anathamini pesa kuliko nyumbani kulikomkuza mwache avune alichopanda.Fuken!!
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mtakuwa mmefanyia ukatili wa hali ya juu. Mmemnyang'anya heshima aliyoijenga Simba kwa miaka mingi.
Heshima kajinyang'anya mwenyewe. Kuna wakati pesa siyo kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yale yale saido pale simba hata acheze vibaya vipi lazima utamkuta kwenye kikosi cha kwanza kama na utopolo wameingia mkataba wa hivyo watajuta
 
Legends has it saying:

"MUDA na NGUVU ndo silaha pekee katika maisha ya bin-adam"....

Meneja wa Chama naye anajizima data, kwahiyo nani asicheze pale DEPORTIVO CLUB de UTOPOLO ili mteja wake acheze hizo dakika 90?..

yanga will let him go easily. they don't care about him. he has no impact in anything at yanga.
 
Kwa hiyo nae aliamini ata break through hadi awe first eleven!?
Labda mechi za Crdb na mapinduzi ila mechi za NBC huo ni mtego ambao Gamond hawezi kuingia maana yanga bado inadaiwa kombe msimu huu ili kufikia rekodi ya Simba
 
Back
Top Bottom