Clatous Chama na taste ya NBC premier league

Clatous Chama na taste ya NBC premier league

Upuuzi mwingine bana[emoji28], huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.

Aliyetoa assist kwenye mechi ya yanga ni babu yako?
 
Sasa mbona kwenye mechi za derby huwa anatolewa dakika ya 60! Tena mashabiki mlikuwa mnamuita kiungo konokono! Mara hii amegeuka na kuwa taste ya NBC Premier League!!

Mashabiki wa simba ni zaidi ya viumbe wasahaulifu.

Ukweli huwa hauna haja ya kutetewa huwa unajitetea wenyewe
 
Halafu unakuta mla mihogo anamlinganisha na Aziza ambaye akitaka kupiga chenga hadi akunje bukta na kuuma meno utadhani anaruka miruko ya juu.(highjump)

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kumbe picha ya kwenye profile lako huwa inaelezea jinsi gani una fuvu kubwa lenye manywele na makamasi tu[emoji848][emoji1787]

Mbumbumbu at his best analysis [emoji28]
 
Hakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.
Mbali na kufunga , kuchezesha, kupiga pass lakini pia walikuwa football artist..

Ilikuwa mtu unatamani kufuatilia LA LIGA si tu kwa ajili ya matokeo ila burudani ya miguu ya mafundi hao ..
Hata mashabiki wa Barcelona walikuwa wakitazama mechi za hasimu wao Madrid ili kupata ladha za ZIZOU....
The same kwa Madrid fans wakipenda kuntazama UNIESTA ,na MESSI wa Barcelona

Clotous CHAMA anaipa taste NBC primier league...

Uniqueness hizi huwa haziji kila wakati ...Tumseme CHAMA kabla hajachoka, ..hata simba wakiwa ktk kiwango gani, ila CHAMA anawafanya fans wa simba kutua moyo... Lakini pia hadhi ya LIGI inayostahili kurushwa LIVE...
Chama Wa kawaida sana. Anaoneka kiwango kwa kuwa ligi yetu ni sawa na ya kombe la mbuzi. Usisahau ni hivi majuzi tu Berkane walimtupia virago kwa kuwa hana ujuzi au hadhi ya kuichezea timu yao.
 
Huwa unaangalia mpira au unasimuliwa kama unasimuliwa Kaa kimya usichangie
Huwezi kuja na hoja mfuu hapa 🤣, huyo mnayempigia mapambio ni wakawaida anaonekana bora kwenu kulingana na quality ya wachezaji wenu. Angekuwa bora asingerudi ligi hii, Toka Samatta ametoka Tanzania hajawahi kurudi kutokana na ubora wake.
 
Kwa maelezo yako inaonyesha kabisa ni shabiki hoyahoya
 
Huwezi kuja na hoja mfuu hapa 🤣, huyo mnayempigia mapambio ni wakawaida anaonekana bora kwenu kulingana na quality ya wachezaji wenu. Angekuwa bora asingerudi ligi hii, Toka Samatta ametoka Tanzania hajawahi kurudi kutokana na ubora wake.
Huyo tunayemzungumzia ameshakuwa mchezaji Bora wa wiki mashindano ya caf Sasa sijui wewe na wale waliomchagua nani anajua
 
Back
Top Bottom